From Wikipedia, the free encyclopedia
Pembenyingi (pia: poligoni) ni umbo bapa lenye pande tatu au zaidi.
Pembenyingi hutokea kama nukta kwenye ubapa zaunganishwa kwa mistari inayofunga eneo au maeneo ndani yao.
Katika jiometria bapa pembenyingi sahili kabisa ni pembetatu.
Pembenyingi sahili haina mistari inayopandana. Ikipandana huitwa pembenyingi tata.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pembenyingi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.