Tuzo za Akademi
From Wikipedia, the free encyclopedia
The Academy Awards (zinafahamika zaidi kama Oscars) huwakilishwa kila mwaka na kampuni ya Academy of Motion Picture Arts and Sciences (Kifupi: AMPAS) kwa lengo la kutambulisha taaluma ya tasnia ya filamu, wakiwemo waongozaji, waigizaji, na watunzi wa filamu.
Ukweli wa haraka Academy Awards ...
Academy Awards | |
---|---|
Tuzo hutolewa kwa ajili ya | Kufanya vizuri katika filamu, mafanikio |
Huwakilishwa na | Academy of Motion Picture Arts and Sciences |
Nchi | Marekani |
Tuzo ya kwanza | 16 Mei 1929 |
Tovuti Rasmi | Academy Awards |
Funga
Rasmi huwa sherehe za utoaji wa tuzo mbalimbali. Pia inasemekana kuwa ni miuongoni mwa sherehe mashughuli zaidi na inatizamwa sana duniani mara tu sherehe hizo zinapoanza.