Ontario
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ontario ni jimbo (province) la Kanada upande wa Ghuba ya Hudson. Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1867.
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Ontario | |||
| |||
Nchi | ![]() |
||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Toronto | ||
Eneo | |||
- Jumla | 1,076,395 km² | ||
Tovuti: http://www.ontario.ca/ |
Funga
Lina eneo la km² 1,076,395. Ni jimbo kubwa la pili katika Kanada baada ya Quebec.
Limepakana na Quebec, New York, Michigan na Manitoba. Upande wa kusini kuna Ziwa Superior, Ziwa Huron, Ziwa Erie na Ziwa Ontario.
Kuna wakazi milioni kumi na tatu (13,425,124).
Mji mkuu ni Toronto ambayo pia ni mji mkubwa wa Kanada.
Lugha rasmi ni Kiingereza (de facto).