Olympia, Washington
From Wikipedia, the free encyclopedia
Olympia ndiyo mji mkuu katika jimbo la Washington. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 43,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 29 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Olympia | |
Mahali pa mji wa Olympia katika Marekani |
|
Majiranukta: 47°2′33″N 122°53′35″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Washington |
Wilaya | Thurston |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 42,514 |
Tovuti: www.olympiawa.gov |
Funga