NyotaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Nyota kwa mang'amuzi na lugha ya kawaida ni nuru ndogo zinazoonekana angani wakati wa usiku. Nyota jinsi zinavyoanza kuonekana angani wakati wa jioni.
Nyota kwa mang'amuzi na lugha ya kawaida ni nuru ndogo zinazoonekana angani wakati wa usiku. Nyota jinsi zinavyoanza kuonekana angani wakati wa jioni.