Nyoka-mbio ni nyoka wa jenasi Platyceps katika familia Colubridae. Wamepewa jina hili kwa sababu wanaweza kupiga mbio sana.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Nyoka-mbio |
Nyoka-mbio majabali (Platyceps rhodorachis) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Nusufaila: |
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
Ngeli: |
Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
|
Oda: |
Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
|
Nusuoda: |
Serpentes (Nyoka)
|
Familia: |
Colubridae (Nyoka walio na mnasaba na kipiri) Oppel, 1811 |
Nusufamilia: |
Colubrinae (Nyoka wanaofanana na kipiri) Oppel, 1811 |
Jenasi: |
Platyceps Blyth, 1860 |
|
Ngazi za chini |
Spishi 25:
- P. afarensis Schätti & Ineich, 2004
- P. bholanathi (Sharma, 1976)
- P. brevis (Boulenger, 1895)
- P. collaris (F. Müller, 1878)
- P. elegantissimus (Günther, 1878)
- P. florulentus (I. Geoffroy Saint-Hilaire, 1827)
- P. gracilis (Günther, 1862)
- P. insulanus (Mertens, 1965)
- P. karelini (Brandt, 1838)
- P. ladacensis (Anderson, 1871)
- P. largeni (Schätti, 2001)
- P. messanai (Schätti & Lanza, 1989)
- P. najadum (Eichwald, 1831)
- P. noeli (Tillack & Kucharzewski, 2014)
- P. rhodorachis (Jan, 1865)
- P. rogersi (Anderson, 1893)
- P. scortecci (Lanza, 1963)
- P. sinai (Schmidt & Marx, 1956)
- P. sindhensis Schätti, Tillack & Kucharzewski, 2014
- P. somalicus (Boulenger, 1896)
- P. taylori (Parker, 1949)
- P. tessellata (F. Werner, 1910)
- P. thomasi (Parker, 1931)
- P. variabilis (Boulenger, 1905)
- P. ventromaculatus (Gray, 1834)
|
Funga
Nyoka hawa ni wafupi kiasi, m 1.5 kwa kipeo lakini sm 40-90 kwa kawaida. Rangi yao ni kijivu au kahawia mara nyingi pamoja na vidoa au mabaka meusi.
Nyoka-mbio hukiakia mchana na hula mijusi hasa lakini vyura na ndege na wagugunaji wadogo pia.
Nyoka hawa hawana sumu lakini wakikamatwa wanang'ata vikali. Kwa hivyo jihadhari.
- Platyceps afarensis, Nyoka-mbio wa Jibuti (Djibouti racer)
- Platyceps brevis, Nyoka-mbio wa Smith (Smith's racer)
- Platyceps florulentus, Nyoka-mbio Madoadoa (Flowered racer)
- Platyceps karelini, Nyoka-mbio Jangwa (Spotted desert racer)
- Platyceps largeni, Nyoka-mbio wa Dahlak (Dahlak racer)
- Platyceps messanai, Nyoka-mbio wa Schätti (Schätti's racer)
- Platyceps rhodorachis, Nyoka-mbio Majabali (Common cliff racer)
- Platyceps rogersi, Nyoka-mbio wa Rogers (Rogerss racer)
- Platyceps saharicus, Nyoka-mbio wa Sahara (Sahara racer)
- Platyceps scortecci, Nyoka-mbio wa Scortecci (Somali racer)
- Platyceps somalicus, Nyoka-mbio wa Ogadeni (Ogaden racer)
- Platyceps taylori, Nyoka-mbio wa Taylor (Taylor's racer)
Collared dwarf racer
Slender whip racer
Glossy-bellied racer
- Spawls, S., Howell, K., Drewes, R. & Ashe, J. (2002) A field guide to the Reptiles of East Africa. Academic Press, San Diego, CA, USA.
|
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyoka-mbio kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |