Norman "Lechero" St. John
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lechero ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Robert Wisdom.
Ukweli wa haraka Uhusika wa Prison Break, Pia anajulikana kama: ...
Uhusika wa Prison Break | |
---|---|
Norman St. John | |
Mwonekano wa kwanza: | OrientaciĆ³n |
Msimu: | 3 |
Imechezwa na: | Robert Wisdom |
Pia anajulikana kama: | Lechero |
Kazi yake: | Mwuza Madawa ya Kulevya |
Familia: | Watoto wa kiume watatu, wa kike wawili, Augusto (mtoto wa dada yake) |
Mahusiano: | Mke |
Funga
Uhusika huu ulianza kuwekwa katika orodha ya wahusika wa kawaida baada ya kufikia katika msimu wa tatu wa mfululizo. Huyu alikuwa bwana wa zamani wa madawa ya kulevya na pia alikuwa kiongozi wa jela ya Sona.