Neymar Jr

Mchezaji wa chama cha soka cha Brazil From Wikipedia, the free encyclopedia

Neymar Jr

Neymar da Silva Santos Júnior (matamshi ya Kireno: [nejˈmaʁ dɐ ˈsiwvɐ ˈsɐ̃tus ˈʒũɲoʁ], kwa kawaida anajulikana kama Neymar au Neymar Jr; alizaliwa 5 Februari 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu mzawa wa Brazil.

Ukweli wa haraka Jinsia, Nchi ya uraia ...
Neymar Jr
Thumb
binadamu
Jinsiamume 
Nchi ya uraiaBrazil 
Nchi anayoitumikiaBrazil 
Jina katika lugha mamaNeymar 
Jina la kuzaliwaNeymar da Silva Santos Júnior 
Jina halisiNeymar 
First family name in Portuguese nameda Silva 
Jina la familiaSantos 
Tarehe ya kuzaliwa5 Februari 1992 
Mahali alipozaliwaMogi das Cruzes 
NduguRafaella Santos 
MchumbaBruna Marquezine, Bruna Biancardi 
MtotoMavie Biancardi da Silva, Davi Lucca 
Lugha ya asiliBrazilian Portuguese 
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiBrazilian Portuguese, Kireno 
Kaziassociation football player 
Nafasi anayocheza kwenye timuwing half 
Muda wa kazi2009 
Mwanachama wa timu ya michezoSantos F.C. 
Medical conditionCOVID-19 
MdhaminiRed Bull GmbH 
Mchezompira wa miguu 
Namba ya Mchezaji10 
Ameshiriki2012 Summer Olympics, 2014 FIFA World Cup, football at the 2016 Summer Olympics, Kombe la Dunia la FIFA 2018, Ice Bucket Challenge 
Tuzo iliyopokelewaSamba Gold, South American Footballer of the Year, South American Footballer of the Year 
AmependekezwaLaureus World Sports Award for Breakthrough of the Year 
Tovutihttps://www.neymarjr.com/ 
Funga

Anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Al-Hilal nchini Saudia na katika timu ya taifa ya Brazil.

Neymar alijitokeza katika umri mdogo huko Santos, ambako alifanya mwanzo wake wa kitaaluma mwenye umri wa miaka 17. Neymar alikuwa mara mbili mchezaji bora wa Brazil mwaka 2011 na 2012, kabla ya kuhamia Ulaya kwenda kujiunga na timu ya Barcelona. Akiwa kama mshambuliaji akisaidiana na Lionel Messi na Luis Suárez, alishinda kombe la La Liga, Copa del Rey, na Ligi ya Mabingwa ya UEFA msimu wa 2014-15. Alishika nafasi ya tatu katika tuzo ya Ballon d'Or mwaka 2015. Mnamo Agosti 2017, Neymar alihamia kutoka Barcelona kwenda Paris Saint-Germain kwa mkataba wa thamani ya milioni 222 milioni, na kumfanya awe mchezaji wmenye gharama kubwa duniani.

Pamoja na mabao 55 katika mechi 85 kwa Brazil tangu kuanzia umri wa miaka 18, Neymar ni mchezaji wa tatu wa juu zaidi kwenye timu yake ya Taifa. Ushiriki wake katika Kombe la Dunia ya FIFA ya 2014 na 2015 Copa América ilipunguzwa kwa kuumia na kusimamishwa kwa mtiririko huo, lakini mwaka ujao aliipatia Brazil medali ya kwanza ya dhahabu ya Olimpiki katika soka la wanaume katika michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya 2016.

Anajulikana kwa njia yake ya uwezo wa kutumia miguu miwili. Pamoja na mwenye uwezo wa kuchezea mpira. Yeye huwa miongoni mwa watu wa michezo maarufu duniani; kampuni ya SportsPro ilimtaja Neymar kama mwanamichezo maarufu zaidi duniani mwaka 2012 na 2013, na ESPN imemtaja kuwa mwanariadha maarufu zaidi wa nne mwaka 2016.

Marejeo

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Neymar Jr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.