New Orleans Pelicans
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani / From Wikipedia, the free encyclopedia
New Orleans Pelicans ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini New Orleans, Louisiana. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Zion Williamson