Natasha Trethewey
From Wikipedia, the free encyclopedia
Natasha Trethewey (amezaliwa 26 Aprili 1966) ni mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2007 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.