From Wikipedia, the free encyclopedia
Nassir Nuh Abdi ni mwanasiasa kutoka Kenya. Yeye ni mwananchama wa Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Bura katika Bunge la Kumi la Kenya katika uchaguzi uliofanyika mwaka wa 2007. Amezaliwa katika eneo la bangale,tana river
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nassir Nuh Abdi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.