Nasaba ya Shang
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nasaba ya Shang ilikuwa nasaba ya kifalme ya Uchina. Inaangaliwa kuwa nasaba ya kwanza ya kihistoria na kudumu tangu karne ya 16 hadi karne ya 11 KK.
Baadhi ya Makaisari wa Shang walikuwa:
- Wu-ting
- Ti-i
- Ti-hsin