Mita ya mraba (m²) ni kipimo cha eneo kinachotumika zaidi kimataifa; eneo lenye upana na urefu wa mita moja
Msingi wake ni kipimo cha urefu cha mita (m).
1 m² ni sawa na:
- eneo la mraba yenye urefu wa mita moja kila upande
- 0.000 001 kilomita za mraba (km²)
- 10,000 sentimita za mraba (cm²)
- 0.000 1 hektari (ha)
- 0.000 247 105 381 ekari
- 10.763 911 futi za mraba
- 1,550.003 1 inchi za mraba
Vilevile ni
- 1 m² = 1,000,000 mm² (millimita ya mraba)
- 1 m² = 10,000 cm² (sentimita ya mraba)
- 1 m² = 100 dm² (desimita ya mraba)
- 100 m² = 1 a (Ar)
- 10,000 m² = 1 ha (hektari)
- 1,000,000 m² = 1 km² (kilomita ya mraba)
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.