MvuaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mvua ni matone ya maji yanayoanguka chini kutoka mawingu angani. Mawingu wa mvua mlimani Mvua ni aina ya usimbishaji. Kama matone yafikia kipenyo cha zaidi ya milimita 0.5 huitwa mvua. Kama matone ni madogo zaidi kunaitwa manyonyota. Mgongoni mwa ardhi mvua imetapaka kisawasawa.
Mvua ni matone ya maji yanayoanguka chini kutoka mawingu angani. Mawingu wa mvua mlimani Mvua ni aina ya usimbishaji. Kama matone yafikia kipenyo cha zaidi ya milimita 0.5 huitwa mvua. Kama matone ni madogo zaidi kunaitwa manyonyota. Mgongoni mwa ardhi mvua imetapaka kisawasawa.