Murakami (14 Julai, 926 5 Julai, 967) alikuwa mfalme mkuu wa 62 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nariakira, na alikuwa mwana wa kumi na nne wa Tenno Daigo. Mwaka wa 946 alimfuata kaka yake, Tenno Suzaku, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Reizei.

Thumb
Mchoro wa Murakami

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Murakami wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.