Mumbai
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mumbai (Kihindi: मुंबई pia: Bombay) ni mji mkuu wa jimbo la Maharashtra kwenye pwani la magharibi la Uhindi. Mumbai ni mji mkubwa wa India mwenye wakazi milioni 12.