MulhacénFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mulhacén ni mlima wa Ulaya, katika nchi ya Hispania. Mlima wa Mulhacén, upande wa Magharibi Urefu wake ni mita 3,479 juu ya usawa wa bahari. Hivyo ni wa juu kuliko milima yote ya Hispania bara.
Mulhacén ni mlima wa Ulaya, katika nchi ya Hispania. Mlima wa Mulhacén, upande wa Magharibi Urefu wake ni mita 3,479 juu ya usawa wa bahari. Hivyo ni wa juu kuliko milima yote ya Hispania bara.