Mtumiaji:DANIEL DE SANTOS
From Wikipedia, the free encyclopedia
MALARIA Malaria ni ugonjwa hatari huambukwizao na mbu jike aitwae anoferensi . Mbu huzaliana kutokana na jinsi ya utunzaji wa mazingira yenu popote pale palipo na nyasi ndefu au madimbwi ya maji yaliyotuama hapo mbu huweza kuzaliana ili tuweze kuepukana na ugonjwa huo nilazima kufuata taratibuzote za utunzaji wa mazingira yetu
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f6/Mosquito_Tasmania.jpg/640px-Mosquito_Tasmania.jpg)
Pia tunaweza kujikinga na malaria kwa kulala ndani ya chandalua kilichowekwa dawa.Malaria ni ugonjwa unaotibika dalili zake ni kama kuumwa na kichwa, lakini kwa sasa nyakati zimebadilika sio kila homa ni malaria kwahio ni lazima kenda hospitari ukapime.kuna dawa nyingi za malaria ni kama kwinini,mseto na duo.jua kuwa matumizi mazuli ya dawa ndiyo yawezayo kukuweka wewe vizuri kwasababu malaria ni ugonjwa hatari kwahiyo kumaliza dozi ni muhimu sana.