From Wikipedia, the free encyclopedia
Jina langu ni Neville Tirimba na mimi ni Mkenya. Napenda fasihi, kutazama filamu mbalimbali (isipokuwa filamu za kutisha) na kupiga picha. Mimi pia hupenda kuyaandika makala mbalimbali kuhusu maswala ya kijamii. Ninaamini kuwa mpango wa Wikipedia wa kuyatafsiri makala utasaidia kuikuza lugha ya Kiswahili vilivyo kwa njia isiyoweza kukadirika kwa sasa.
Wikipedia:Babel | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.