From Wikipedia, the free encyclopedia
"Hakuna mwisho wa kutunga vitabu,
na kusoma sana huuchosha mwili" Kitabu cha Mhubiri 12,12
Lugha | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
' | Mtumjiaji huyu amefariki.. Hakuna haja ya kurudi tena hapo baadaye. |
Nina nywele lakini nimependa jina hili la Kipala. Nikiwa Mjerumani nimekaa miaka mingi Tanzania na Kenya. Hata nikihofia ya kwamba nimeanza kutumia Kiswahili cha Nairobi hapo na pale bado naona nitoe shukrani zangu kwa Afrika ya Mashariki kwa njia ya kusaidia kujenga Wikipedia ya Kiswahili.
Basi jamani, kuna kazi, twendeni!
Mwaka 2018 Kipala amerudi Tanzania kwa miaka kadhaa akifurahia kushirikiana na wanawikipedia wenzake waliopo Afrika!
Naomba andika michango au maswali yote kwenye ukurasa wangu wa majadiliano.
Ongeza chako chini ya michango mingine.
Mazungumzo ya awali kwenye ukurasa huu umehamishwa kwenda: /Archive 1
Karibuni kuchangia katika orodha hii ya makala 100 ya kimsingi Majadiliano ya mtumiaji:Kipala/makala 100!!
Kurasa za majaribio:
/kigezo:Visiwa; /kisiwa jaribio; /Trial Cote
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.