Mto Kaduna
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Kaduna unapatikana nchini Nigeria (Jimbo la Plateau, Jimbo la Kaduna na Jimbo la Niger). Ni tawimto la mto Niger.
Njia yake yote ni km 550.