From Wikipedia, the free encyclopedia
Mshipa ni mrija mdogo wenye kupitisha damu au mawasiliano katika mwili wa kiumbehai k.v. mnyama au binadamu.
Unganisha! Imependekezwa makala hii iunganishwe na mishipa ya damu. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Chagua moja kati ya makala ili ibaki (kwa kawaida ile yenye jina sahihi zaidi), ingiza habari kutoka nyingine, ondoa kasoro, hifadhi. Kisha futa makala nyingine. |
Mishipa ya damu ni kama vile aorta, ateri, vena, venacava. Kwa jinsi ilivyotajwa kwa kujipanga ndivyo hivyohivyo jinsi ukubwa wa mishipa hiyo ilivyo. Pia kuna mishipa inayopeleka damu chafu katika moyo na kuna mishipa inayopeleka damu safi kwenda sehemu zote za mwili.
Moyo pamoja na mishipa ya damu mwenye mwili huitwa mfumo wa mzunguko wa damu. Damu husukumwa kwa mapigo ya moyo na hupeleka oksijeni kwenye tishu.
Kuna maili 100,000 za mishipa ya damu ndani ya mwili wa mtu mzima.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mshipa kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.