From Wikipedia, the free encyclopedia
Mipupu ni mimea yenye nywele zinazowasha au zinazochoma. Ile ya nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae (miharagwe) ni aina ya mharagwe unaotoa majani machanga na makaka yenye nywele zinazowasha. Makaka na mbegu zake huitwa upupu. Mpupu hukuzwa sana kama gubiko la udongo ili kuzuia magugu na kukauka. Mimea iliyokomaa hulimwa mara nyingi katika udongo kama mbolea kijani. Upupu huliwa pengine, hasa wakati wa njaa.
Mpupu (Mucuna pruriens) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mpupu | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mpupu (Fabaceae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.