Mitango ya Afrika ni spishi za mimea za Afrika kwenye jenasi Momordica katika familia Cucurbitaceae. Matunda yao yanafanana na matango na kwa kawaida yana rangi ya nyekundu au ya machungwa yakiwa yameiva. Mbegu zao zimepambika kwa mpako mwekundu kama upepe wa maharagwe.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Mtango wa Afrika |
Tango-zeri likionyesha mbegu zilizopambika kwa mpako kama ute (Momordica balsamina) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Plantae (Mimea)
|
(bila tabaka): |
Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
|
(bila tabaka): |
Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
|
(bila tabaka): |
Rosids (Mimea kama mwaridi)
|
Oda: |
Cucurbitales (Mimea kama mboga)
|
Familia: |
Cucurbitaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mboga)
|
Jenasi: |
Momordica L. |
Spishi: |
Zilizochaguliwa:
- M. balsamina L.
- M. boivinii Baill.
- M. calantha Gilg
- M. charantia L.
- M. foetida Schumach.
- M. glabra A.Zimm.
- M. henriquesii Cogn.
- M. kirkii C.Jeffrey
- M. leiocarpa Gilg
- M. littorea Thulin
- M. multiflora Hook. f.
- M. peteri A.Zimm.
- M. pterocarpa A.Rich.
- M. rostrata A.Zimm.
- M. spinosa Chiov.
|
|
Funga
- Momordica balsamina, Mtango-zeri
- Momordica boivinii, Mtango wa Boivin
- Momordica calantha, Mtango Maua-marembo
- Momordica charantia, Mtango-chungu au Mkarela
- Momordica foetida, Mtango-nuka au Mnyanya-nuka
- Momordica glabra, Mtango-kipara
- Momordica henriquesii, Mtango wa Henriques
- Momordica kirkii, Mtango wa Kirk
- Momordica leiocarpa, Mtango-laini
- Momordica littorea, Mtango-pwani
- Momordica multiflora, Mtango Maua-mengi
- Momordica peteri, Mtango wa Peter
- Momordica pterocarpa, Mtango-mabawa
- Momordica rostrata, Mtango Matunda-nyoka au Mtunda-nyoka
- Momordica spinosa, Mtango-pembe
Mtango-zeri
Ua la mtango wa Boivin
Mkarela
Mtango-nuka