![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/42/Collage_of_Modena.jpg/640px-Collage_of_Modena.jpg&w=640&q=50)
Modena
From Wikipedia, the free encyclopedia
Modena ni mji wa Italia katika mkoa la Emilia-Romagna. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 180,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 34 kutoka juu ya usawa wa bahari.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/42/Collage_of_Modena.jpg/640px-Collage_of_Modena.jpg)
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Modena | |
Majiranukta: 44°39′00″N 10°56′00″E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Emilia-Romagna |
Wilaya | Modena |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 182,640 |
Tovuti: www.comune.modena.it |
Funga