Mnjugu
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mnjugu (Arachis hypogaea) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae unaozaa njugu (pia karanga), mbegu zake ambazo zipo mbili mbili (pengine moja) ndani ya makaka. Tofauti na makaka ya kawaida vikonyo vya yale ya mnjugu huingia ardhini na makaka yanaendelea chini.
Mnjugu (Arachis hypogaea) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mnjugu katika kichungu | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mnjugu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.