Mlupini
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Milupini (Lupinus spp.) ni mimea ya nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae (miharagwe). Mbegu zao huitwa malupini. Spishi kadhaa hukuzwa ili kuvuna malupini kwa chakula cha watu, k.m. mlupini mweupe, mlupini majani-membamba, mlupini buluu na spishi ya Amerika ya Kusini Lupinus mutabilis. Spishi nyingine hukuzwa kwa malisho ya wanyama, k.m. mlupini mweupe, mlupini majani-membamba na mlupini njano. Lazima malupini yalowekwe katika maji na chumvi kwa muda wa siku kadhaa kabla kuyapika, kwa sababu yana sumu.
Mlupini (Lupinus spp.) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mlupini mweupe | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 12 za Afrika:
|
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mlupini kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.