From Wikipedia, the free encyclopedia
Mlima Kumotori unapatikana katika mpaka wa Tokyo, Saitama, na Wilaya za Yamanashi kwenye kisiwa cha Honshū, Japani. Una mwinuko wa mita 2,017 (futi 6,617). Mlima huu unatenganisha Milima ya Okutama na Milima ya Okuchichibu.
Mlima Kumotori ni moja ya mlima maarufu duniani na umaarufu wake umetokana na mkutano wa kuanzishwa kwa daraja la kwanza nchini Japani.
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Kumotori kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.