![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/cd/Van_districts.png/640px-Van_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Van
From Wikipedia, the free encyclopedia
Van ni jina la mkoa mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki, kati ya Ziwa Van na mpaka wa nchi ya Iran. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 19,069 na jumla ya wakazi wapatao 1,012,707 .
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Van nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Van nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 19,069 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 1,012,707 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 65 |
Kodi ya eneo: | 0276 |
Tovuti ya Gavana | http://www.van.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/van |
Funga