![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/4b/Dersim_districts.png/640px-Dersim_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Tunceli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tunceli (Kizazaki: Dêrsım) ni mkoa uliopo katika kanda ya Mashariki mwa Anatolia huko nchini Uturuki. Mkoa ulipewa jina la Dersim hadi mnamo 1936 (Dersim maana yake 'mlango wa fedha' kwa Kizazaki), na kuna baadhi wanaita jina lilelile la zamani. Wakazi wengi wa hapa ni Wazaza. Mikoa inayopaka na mkoa huu ni pamoja na Erzincan kwa upande kaskazini-magharibi, Elazığ kwa upande wa kusini, na Bingöl kwa upande wa mashariki.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Tunceli nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Tunceli nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 7,774 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 76,401 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 62 |
Kodi ya eneo: | 0392 |
Tovuti ya Gavana | http://www.tunceli.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/tunceli |
Funga
Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 7,774 na jumla ya wakazi takriban 76,401.