From Wikipedia, the free encyclopedia
Osmaniye ni jinala mkoa uliopo mjini kusini mwa nchi ya Uturuki. Umekuja kuwa mkoa mnamo mwaka wa 1996. Kasehemu kadogo ka mkoa kalikuwa shemu ya Mkoa wa Adana, na kulikobakia huwa mjini mashariki mwa Adana. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 3,767 na jumla ya wakazi takriban 497,907 (makisio ya 2006). Awali idadi ya wakazi wa hapa ilikuwa 458,782 kunako mwaka wa 2000.
Mkoa wa Osmaniye | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Osmaniye nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Mediterranean |
Eneo: | 3,767 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 497,907 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 80 |
Kodi ya eneo: | 0328 |
Tovuti ya Gavana | http://www.osmaniye.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/osmaniye |
Mkoa wa Osmaniye umegawanyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Osmaniye kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.