Mkoa wa Ogooué-Ivindo
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ogooué-Ivindo ni mkoa uliopo zaidi mjini kaskazini-mashariki mwa mikoa tisa ya Gabon. Mji mkuu wa mkoa huu ni Makokou, ambamo ni nyumbani mwa theluthi moja ya idadi ya wakazi wa mkoa huu. Mkoa umejipatia jina lake kutoka kwa mito miwili, Ogooué na Ivindo. Mkoa huu ni mkubwa sana, wakazi wachache, na maendeleo duni katika orodha nzima ya mikoa tisa.
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (Desemba 2009) |
Upande kusini mwa mkoa huu umepita katika Ikweta. Urefu wake unaendea kutoka 11 E hadi 14 E na upana ni 0.35 S hadi 1 N.
Kwa upande wa kaskazini na magharibi, Ogooué-Ivindo imepakana na mkoa wa Sangha na Cuvette-Ouest ambayo ni mikoa ya Jamhuri ya Kongo. Kwa nyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:
Ogooué-Ivindo imegawanyika katika departments 4:
Mwaka | Wakazi | Badiliko | Msongamano |
---|---|---|---|
1980 | 61,281 | - | 1.33/km² |
1993 | 48,862 | -12,419/-20.2% | 1.06/km² |
Makala hii kuhusu maeneo ya Gabon bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ogooué-Ivindo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.