Mkoa wa Ninh ThuậnFrom Wikipedia, the free encyclopedia Ninh Thuận, hapo awali iliitwa mkoa wa Phan Rang, ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Phan Rang - Tháp Chàm. Eneo lake ni 3,363.08 km². Mwaka 2009 wakazi 564,993 walihesabiwa. Mahali pa Ninh Thuận katika Vietnam
Ninh Thuận, hapo awali iliitwa mkoa wa Phan Rang, ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Phan Rang - Tháp Chàm. Eneo lake ni 3,363.08 km². Mwaka 2009 wakazi 564,993 walihesabiwa. Mahali pa Ninh Thuận katika Vietnam