![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/fa/Democratic_Republic_of_the_Congo_%252826_provinces%2529_-_Maniema.svg/langsw-640px-Democratic_Republic_of_the_Congo_%252826_provinces%2529_-_Maniema.svg.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Maniema
jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Maniema ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,246,787. Mji mkuu ni Kindu.
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Mkoa wa Maniema |
|
![]() |
|
Majiranukta: 02°57′S 25°57′E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | Kindu |
Serikali | |
- Gouverneur | Auguy Musafiri |
Eneo | |
- Jumla | 132,520 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,246,787 |
Funga