Mkoa wa Magharibi (Uganda)
mkoa wa Uganda / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Magharibi (kwa Kiingereza: Western Region) ni kati ya mikoa minne ya Uganda.
Kwa sasa linaundwa na wilaya 26.
Makao makuu yako Mbarara.
Wakazi ni 8,874,862.
Mkoa wa Magharibi (kwa Kiingereza: Western Region) ni kati ya mikoa minne ya Uganda.
Kwa sasa linaundwa na wilaya 26.
Makao makuu yako Mbarara.
Wakazi ni 8,874,862.