Mkoa wa Lâm ĐồngFrom Wikipedia, the free encyclopedia Lâm Đồng ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Đà Lạt. Eneo lake ni 9,764.8 km². Mwaka 2009 wakazi 1,187,574 walihesabiwa. Mahali pa Lâm Đồng katika Vietnam
Lâm Đồng ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Đà Lạt. Eneo lake ni 9,764.8 km². Mwaka 2009 wakazi 1,187,574 walihesabiwa. Mahali pa Lâm Đồng katika Vietnam