Mkoa wa Kinshasa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Kinshasa ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,787,000. Mji mkuu ni Kinshasa.
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Mkoa wa Kinshasa |
|
Mahali pa Mkoa wa Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Majiranukta: 02°57′S 25°57′E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 4 |
Mji mkuu | Kinshasa |
Eneo | |
- Jumla | 9,965 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 4,787,000 |
Funga