Mkoa wa Kati (Zambia)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Kati (Central Province) ni moja ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,012,257 kwenye eneo la 94,395 km². Mji mkuu ni Kabwe.
Kwa maana nyingine, tazama Mkoa wa Kati.