Mkoa wa Huesca
From Wikipedia, the free encyclopedia
Huesca ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Mkoa wa Huesca | |||
|
|||
| |||
Nchi | ![]() |
||
---|---|---|---|
Jimbo | Aragon | ||
Mji mkuu | Huesca | ||
Eneo | |||
- Jumla | 15,626 km² | ||
Tovuti: http://www.dphuesca.es/ |
Funga
Idadi ya wakazi wake ni takriban 228,566.
Mji wake mkuu ni Huesca.