Mkoa wa Gia LaiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Gia Lai ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Pleiku. Eneo lake ni 15,494.9 km². Mwaka 2009 wakazi 1,274,412 walihesabiwa. Mahali pa Gia Lai katika Vietnam
Gia Lai ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Pleiku. Eneo lake ni 15,494.9 km². Mwaka 2009 wakazi 1,274,412 walihesabiwa. Mahali pa Gia Lai katika Vietnam