Mkoa wa Gümüşhane
From Wikipedia, the free encyclopedia
Gümüşhane ni jina la kutaja mkoa uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki, umepakana na Bayburt kwa upande wa mashariki, Trabzon upande wa kaskazini, Giresun na Erzincan kwa upande wa magharibi. Umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 6,575 na una wakazi takriban 191,474 mnamo mwaka wa 2006. Wakazi wake awali walikuwa 186,953 (2000).
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Gümüşhane nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Gümüşhane nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 6,575 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 191,474 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 29 |
Kodi ya eneo: | 0406 |
Tovuti ya Gavana | http://www.gümüşhane.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/gümüşhane |
Funga