![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/da/Balikesir_districts.png/640px-Balikesir_districts.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Balıkesir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Balıkesir ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki. Mkoa una mistari ya pwani mbili, ambao ni Bahari ya Marmara na Aegean. Mikoa inayopakana na mkoa huuu ni pamoja na Çanakkale kwa upande wa magharibi, İzmir kusini-magharibi, Manisa kwa upande a kusini, Kütahya kwa upande wa kusini-mashariki, na Bursa kwa upande wa mashariki. Mji mkuu wake ni Balıkesir.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Balıkesir nchini Uturuki, Maelezo ...
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Balıkesir nchini Uturuki | |
![]() | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Marmara |
Eneo: | 12.496 (km²) |
Kodi ya Leseni: | 10 |
Kodi ya eneo: | 00266******* |
Tovuti ya Gavana | http://www.balıkesir.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/balıkesir |
Funga