Mkoa wa Bagoué
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Bagoué (kwa Kifaransa: Région de la Bagoué) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Mkoa wa Bagoué | |
Mahali pa Mkoa wa Bagoué (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Savanes |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Savanes |
Serikali[1] | |
- Prefect | Issa Coulibaly |
- Rais wa Baraza | Siama Bamba |
Eneo[2] | |
- Jumla | 10,668 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 375,687 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Uko katika Kaskazini ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Boundiali. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 375,687.