From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkanda ni vazi ambayo hutumika kiunoni kwa ajili ya kushikilia nguo, hasa suruali.
Pia ni mshipi wa ngozi au kitu kingine unaotumika kuendeshea mashine mbalimbali na mitambo ya viwandani.
Tena ni mshipi uliowekwa katika magari na vyombo vingine vya usafiri ili abiria wajifunge nao kuongezea usalama wao.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkanda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.