Miyazaki, Miyazaki
mji katika mkoa wa Miyazaki, Japani / From Wikipedia, the free encyclopedia
Miyazaki (宮崎市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Miyazaki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 370 000 wanaoishi katika mji huu.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Miyazaki | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kyushu | ||
Mkoa | Miyazaki | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 369,244 | ||
Tovuti: www.city.miyazaki.miyazaki.jp |
Funga