MilianaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Miliana ni mji kwenye mkoa wa Aïn Defla kaskazini-mashariki mwa Algeria, ni mji wa kiutawala wa wilaya wenye jina hilohilo. Upo takribani kilomita 114 kusini-magharibi mwa mji mkuu wa Algeria, Algiers. Miliana Miliana
Miliana ni mji kwenye mkoa wa Aïn Defla kaskazini-mashariki mwa Algeria, ni mji wa kiutawala wa wilaya wenye jina hilohilo. Upo takribani kilomita 114 kusini-magharibi mwa mji mkuu wa Algeria, Algiers. Miliana Miliana