Middelburg
From Wikipedia, the free encyclopedia
Middelburg ni mji mkuu wa mkoa wa Zeeland nchini Uholanzi. Mji ulianzishwa karne ya 9. Idadi ya wakazi wake ni takriban 47,308.
Kwa maana nyingine, tazama Middelburg (maana).
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Middelburg | |||
| |||
Mahali pa mji wa Middelburg katika Uholanzi |
|||
Majiranukta: 51°30′0″N 3°37′0″E | |||
Nchi | Uholanzi | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Zeeland | ||
Idadi ya wakazi (2008) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 47,308 | ||
Tovuti: http://www.middelburg.nl/ |
Funga