Michael Bay
From Wikipedia, the free encyclopedia
Michael Benjamin Bay (amezaliwa tar. 17 Februari 1965) ni mwongozaji na mtayarishaji filamu wa Kimarekani. Bay amejibebea heshima-sifa na mafanikio makubwa baada ya kuongoza filamu kama vile Transformers, Armageddon, The Rock, Pearl Harbor, Bad Boys, na Bad Boys II. Bay pia ni mmoja wa wanachama wa kampuni ya utayarishaji na upigaji video za muziki ijulikanyo kwa jina la Propaganda Films.
Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Michael Bay | |
---|---|
Michael Bay. | |
Amezaliwa | Michael Benjamin Bay 17 Februari 1965 (1965-02-17) (umri 59) Los Angeles, California, Marekani |
Kazi yake | Mwongozaji Mtayarishaji |
Funga