![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/5f/Miami_Heat_-_Indiana_Pacers%252C_2013%252C_5.jpg/640px-Miami_Heat_-_Indiana_Pacers%252C_2013%252C_5.jpg&w=640&q=50)
Miami Heat
Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani iliyoko Miami / From Wikipedia, the free encyclopedia
Miami Heat ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Miami, Florida. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Jimmy Bulter.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/5f/Miami_Heat_-_Indiana_Pacers%2C_2013%2C_5.jpg/320px-Miami_Heat_-_Indiana_Pacers%2C_2013%2C_5.jpg)