Mgawanyo wa madarakaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Mgawanyo wa madaraka ni fundisho la kisiasa linalotaka katika dola lolote itofautishwe mikono au mihimili 3 ya mamlaka. Hiyo mihimili mitatu ni: bunge au mamlaka ya kutunga sheria serikali au mamlaka ya utendaji inayotekeleza sheria mahakama au mamlaka ya kuamulia sheria
Mgawanyo wa madaraka ni fundisho la kisiasa linalotaka katika dola lolote itofautishwe mikono au mihimili 3 ya mamlaka. Hiyo mihimili mitatu ni: bunge au mamlaka ya kutunga sheria serikali au mamlaka ya utendaji inayotekeleza sheria mahakama au mamlaka ya kuamulia sheria